Ndugu yangu, hata baadhi ya Watu wa TAKUKURU siku hizi wanashirikiana na Watoa rushwa.
Ukikumbana na viashiria vya Rushwa ukaripoti TAKUKURU, TAKUKURU wanapeleka taarifa kwa anayetaka kupokea rushwa.
Hali ni mbaya sana sasa.
Mimi nafikiri sasa ifikie wakati Watanzania tuache kulialia tufanye kazi wenyewe.Acheni kulalama. Fanyeni kama Brazil, baada ya polisi kushindwa wananchi wakaamua kujilinda. Kuna video ya Wabrazil wakijilinda wenyewe.
Hii itakuwa sweetie warMimi nafikiri sasa ifikie wakati Watanzania tuache kulialia tufanye kazi wenyewe.
Ni kuungana,kujipanga na silaha watakapovamia mahali ni kuitana tu mwenye bunduki,mwenye rungu,mwenye panga na kuwafundisha adabu.
Wakishapewa kichapo cha mbwa koko mara 3 tu wenyewe wataacha.
tupia hiyo videoAcheni kulalama. Fanyeni kama Brazil, baada ya polisi kushindwa wananchi wakaamua kujilinda. Kuna video ya Wabrazil wakijilinda wenyewe.