ikhlas
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 1,050
- 1,308
Assalaam Alaikum.
Wadau naskitika kuwa jirani yangu maeneo ya Tabata Bima mtaa wa Madukani jana alivamiwa na Panya Road na kumjeruhi vibaya.
Walivyofanya hivyo hawakutosheka wakawajeruhi na wengine wa 4. Majeruhi wamepelekwa Amana hospitali usiku ule ule.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea majira ya saa 4 usiku. Polis walifika usiku kukagua na pia sungusungu waliimarisha usalama bada ya tukio.
Tuchkue tahadhari waungwana.