Panya road wanauwa au wanashambulia?

Panya road wanauwa au wanashambulia?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naomba kujua madhara ya panya road je wanauwa? Wanapora? Au wanashambulia?
 
Naomba kujua madhara ya panya road je wanauwa? Wanapora? Au wanashambulia?
Wanafanya la mwisho, la kati, na la kwanza laweza tokea kufuatia uzito wa lile la mwisho katika orodha yako.
 
Paka road wapo wapi mpaka panya road wanazaliana kiasi hiki?
 
mkuu swali lako ulivyouliza unaonekana kama Comando flani hivi unatafuta taarifa muhimu uanze kazi ya kuwategea sumu ya panya!
 
Hakuna mtu aliyekufa kwa Panya road,hili swala lipo kimaslahi kama Corona tu!
 
Back
Top Bottom