Mtu anayemkata mtu panga na kumjeruhi lengo lake ni nini?Sijasikia mtu kauwawa na Panya road.
Wanafanya la mwisho, la kati, na la kwanza laweza tokea kufuatia uzito wa lile la mwisho katika orodha yako.Naomba kujua madhara ya panya road je wanauwa? Wanapora? Au wanashambulia?