Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Usiku wa jana kuamkia leo 7/10 saa nane, wakazi wa Mabibo mtaa wa Jitegemee walivamiwa na panya road, bado hakuna taarifa rasmi kwa upotevu wa mali na majeruhi.
Baada ya taarifa kuwa polisi wanawashugulikia panya road na baadhi wakionekana kukamtwa, imekuaje wakaibuka tena?
Baada ya taarifa kuwa polisi wanawashugulikia panya road na baadhi wakionekana kukamtwa, imekuaje wakaibuka tena?