Uchumi wa Kati
Member
- Jul 3, 2020
- 29
- 63
Jumatatu iliyopita vijana wahalifu maarufu kama panya road wamevamia watu, wawaibia kisha kuwajeruhi kwa mapanga.
Mmoja wao kapigwa mapanga kichwani na kupoteza damu nyingi nusura apoteze maisha. Baada ya kujeruhiwa kaporwa simu na PESA nyingi.
Mwingine kaporwa simu, PESA na passport na kujeruhiwa kwa kukatwa na mapanga sikioni na kukatwa kabisa sikio.
Matukio haya yote yametokea maeneo ya Mabibo Ushese wilaya ya Ubungo,Dar es Salaam.