Uchumi wa Kati
Member
- Jul 3, 2020
- 29
- 63
Inasemekana polisi wameshuka molari ya kufanya kazi maana Hangaya anawasemea shit Sana, kila kukicha mara ooh hawatendi haki kwa watuhumiwa, mara ooh wanakula rushwa....michezo ya Sirro hiyo ila ndio wajiandae kupotezwa kitaani
Afande IGP mpya, Camilius Mongoso Wambura anza na hii kitu, hawa wanaojiita panya road, wanataka kujiona kama wameshindwa kudhibitiwa. Mkuu anza nao hao!Jumatatu iliyopita vijana wahalifu maarufu kama panya road wamevamia watu, wawaibia kisha kuwajeruhi kwa mapanga.
Mmoja wao kapigwa mapanga kichwani na kupoteza damu nyingi nusura apoteze maisha. Baada ya kujeruhiwa kaporwa simu na PESA nyingi.
Mwingine kaporwa simu, PESA na passport na kujeruhiwa kwa kukatwa na mapanga sikioni na kukatwa kabisa sikio.
Matukio haya yote yametokea maeneo ya Mabibo Ushese wilaya ya Ubungo,Dar es Salaam.
si kwelii wamezidisha tamaa mbeleInasemekana polisi wameshuka molari ya kufanya kazi maana Hangaya anawasemea shit Sana, kila kukicha mara ooh hawatendi haki kwa watuhumiwa, mara ooh wanakula rushwa....