PANYA WATATU (3)

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*CHEKI HII YA PANYA*
[emoji232] [emoji232] [emoji232] !
*Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi*

*Panya 1: *jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya panya) mara tatu na sijadedi !!!*

*Panya 2* *Wewe unasema nini, mimi nimekula nyama ikiwa*
*kwa mtego mara 5 nasijawahi dakwa*

*RAT 3* *Mmemaliza? Mie hata sijui mnabishana nini? Mimi hii mimba niliyo nayo ni ya paka !!!*
.
.Panya WA 1 na 2 wakazimia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
*Panya wa 3 huwa hapendi ujinga kabisa*
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji4]
Waimbaji wa nyimbo za injili wamakuwaje na mvuto wa kimapenzi jamn
Kasema waimbaj wa injil kwan sio watu? Skuiz biashara alijisemea rose muhando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…