Panya Watatu

ELNIN0

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Posts
4,161
Reaction score
1,476
Panya watatu walikuwa na ubishi kati yao kwamba nani ni mkali kati yao?

Panya no 1: Mimi naweza kutegua mitego yoyote ile sishindwi kitu.
Panya no 2: Mimi naweza kunywa maziwa yenye sumu bila kudhurika chochote.
Panya no 3: Yeye aliamua kuondoka kimya kimya tu bila kusema kitu wale wenzie wakamuuliza kulikoni mwenzetu mbona unaondoka tu bila kusema kitu?
Panya no 3: Akawaangalia akatikisa kichwa akawaambia " sasa mimi naenda kum- do paka kinyume na maumbile.

Nani atakuwa amewashida wenzake?
 
Panya mkubwa wee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…