Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Huyu anashikilia rekodi ya kuwa na followers wengi. Papa rekodi ya kupata followers wengi kwa muda mfupi. Nafikiri umeelewa tofauri yake
Mtu mwenye followers wengi Instagram ni Christiano Ronaldo.Huyu anashikilia rekodi ya kuwa na followers wengi. Papa rekodi ya kupata followers wengi kwa muda mfupi. Nafikiri umeelewa tofauri yake
View attachment 1319338
Papa Francis anashikilia rekodi ya kupata followers wengi instagram mara baada ya kujiunga
Akitumia jina la Franciscus, Pope Francis ( Jorge Mario Bergoglio ) alipata followers hao Millioni moja instagram masaa 12 baada ya kujiunga Instagram tarehe 19 Machi 2016.
Rekodi hiyo ilivunja rekodi ya mwanzo ya mchezaji mstaafu David Beckham (UK), ambaye alipata followers million moja ndani ya masaa 24 baada ya kujiunga tarehe 2 Mei 2015.
Hizi rekodi kwa mujibu wa Kitabu cha Guinness cha mwaka 2019
Hivi, watu walivyopinda hivi, huwa hawaropoki kwenye page ya baba mtakatifu?
Kha!