JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Hakuna mtawala aliwahi kuwa mjuaji mbele ya Vatican.Huu ndiyo uhalisia,sisi huku tunaoishi kwa ulimwengu wa tatu na tukicomment hapa JF tena kwa kutegemea technologia ya huyo huyo tunaejidai kumpuuza tungekaa na kutulia tuone wanaoiendesha Dunia wanasemaje[emoji3].Aende Urusi atapokelewa hawawezi kumfukuza.
Kuna mbabe kuzidi Vatican katika hii Dunia kweliPapa atulize mshono...Aache wababe wa Dunia wafanye yao
[emoji3][emoji3]FSB walishajua agenda ya huyu kiongozi wa RC, Russian wana kanisa lao la Orthodox.
So atulie shadow member of NATO
Tupo bado chini pamoja na ujuaji wetu.Hakuna mtawala aliwahi kuwa mjuaji mbele ya Vatican.Huu ndiyo uhalisia...
Kabla hatujaanzia Mbali, Vatican anaguna nn Mbele ya Egypt?Kuna mbabe kuzidi Vatican katika hii Dunia kweli
JesuitKabla hatujaanzia Mbali, Vatican anaguna nn Mbele ya Egypt?? Kabla hata hatujazitaja nchi kama Israel Na north korea
Seems hujui Vatican ni kitu gani?Kabla hatujaanzia Mbali, Vatican anaguna nn Mbele ya Egypt?? Kabla hata hatujazitaja nchi kama Israel Na north korea
Acha tuendelee kupiga porojo hapa kwa hisani yao,maana wakiamua ni dk 0 tunarudi kwa zama za maweTupo bado chini pamoja na ujuaji wetu.
Kule kwenye uzi wa live umepotea kabisa😀Acha tuendelee kupiga porojo hapa kwa hisani yao,maana wakiamua ni dk 0 tunarudi kwa zama za mawe
hadi kilipuke kitu urusi ndio atatokeaKule kwenye uzi wa live umepotea kabisa😀
Seems unaamini kirahisi myths na conspiracy theoriesSeems hujui Vatican ni kitu gani? View attachment 2210451
PutinKuna mbabe kuzidi Vatican katika hii Dunia kweli
Mastory ya town tu. Influence ya vatican now sio kihivyo dunia ya leo. Nchi nyingi zinaikataa, hao warusi wenyeww waorthodox, U.K nao ndo Waanglikana, US inasemekana ni ngumu kuwa raisi ukiwa mkatoliki.Hakuna mtawala aliwahi kuwa mjuaji mbele ya Vatican.Huu ndiyo uhalisia,sisi huku tunaoishi kwa ulimwengu wa tatu na tukicomment hapa JF tena kwa kutegemea technologia ya huyo huyo tunaejidai kumpuuza tungekaa na kutulia tuone wanaoiendesha Dunia wanasemaje[emoji3].Tukiendelea na ujuaji wetu tusijeshangaa hata hiki kijiwe tunachotolea povu kikatoweka,tukabaki kufura na hasira zetu tukiwa kwa Ulimwengu wa giza.