Papa Francis asema kinachoendela huko Gaza sio vita bali ni ukatili unaofanywa na Israeli dhidi ya watoto

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Papa Francis alaani vikali kinacho iendela huko Gaza na kuilamu Israeli kwa ukatili wanao ufanya dhidi ya watoto.

Amesema kinacho fanywa na Israeli sio vita bali ni ukatili dhidi ya watoto, amesema jambo hilo linamuumiza sana roho yake kuona kila kukicha watoto wanauliwa kwa makombora ya Israeli.

Amesisitiza kuwa huo ni ukatili usio kubalika na binaadamu yeyote.

Mhe Papa ametoa mbadala kwa Israel kwamba ifanyaje pale inapovamiwa? Ifanyeje ili kujilinda? Ifanye nini Israel ili yaliotokea October 07, 24 yasitokee tena? Papa, katoa ushauri gani kwa Israel endapo magaidi yale yakijificha kwenye kambi za watoto na yana silaha? Kama hana alternative better him shut up his mouth cause maneno yake yataonekana kama ni kelele tu
 
Kesha jibiwa majibu murua na Israel.. atulie au abadilishe dini awe muislam.. issue ya mateka mpumbavu yeyete akiingilia atakwama tu.. awaambie waislam wenzake wawaachie mateka.. kitendo cha maigizo ya sanamu ya yesu kuwekewa kiremba cha wapalestina ni ukosefu wa adabu wa Papa Jeses was born in jew and die in jew and raised in jew asituletee usilamu wake mchafu. Vita haiishi bila mateka alete uongo wote hatafua dafu..ajiunge na waislam wote hatomuweza Netanyahu
 
Duh noma kweli abadilishe dini? Duh

Naomba na hiyo picha ya sanamu ya YESU wa kipalestina
 
Papa ni mnafiki,mbwa mwitu aliejivika ngozi ya kondoo tu.dunia ilivyowazi ukichokonoa tu unapata mambo bana...vita vyote ulimwenguni hupangwa na hio vatican under the power of satan mwenyewe..umewai sikia mwenyekiti wa umoja wa mataifa??? Lah ila utasikia tu oh katibu mkuu wa umoja wa mataifa.mwenyekiti yupo ambae ni shetani mwenyewe.so mamlaka vatican kampa black pope ambae hujifanya kua kiongozi wa serikali zote,huyu papa mweupe ye hujifanya kiongozi wa dini zote...ndio dini zote hata hio ya waarabu.unafiki wa mapapa weupe ni kujifanya wanautakia ulimwengu amani na kumbe nyuma ya ajenda ni uasi tu.
 
Huo ni ukweli...kwanini hao magaidi yanatumia watoto km ngao yao.
Hivi hakukuwa na uwezekano kwa Israel kuwatangazia wapalestina kuwa watoto na wazazi wao, na wale wote wasioafiki matendo ya Hamas, kujitokeza na kuorodheshwa na kisha wakaandaliwa makazi na kupewa huduma zote ndani ya Israel?

Najua kuwa Hamas, wakitaka kuwatumia ninyi raia kama ngao, raia mkitaka kukimbia wanawaua, lakini baada ya yale mashambulio ya awali, wale waliokimbilia kwenye makambi, ilikuwa rahisi kuwatenga wasio upande wa hao magaidi ya Hamas.

Kwanza kuwaandalia makazi ndani ya Israel, wakatendewa wema, hawa watoto wengi wao baadaye wangeamua kuwa raia wa Palestina, wasingetaka kwenda huko kwenye mateso na utawala dhalimu wa Hamas.

Zifanyike jitihada za kuokoa watoto hawa, wasio na maamhzi, na wale wote wasio washirika wa Hamas.
 
Wazungu wote ppte walipo Lao moja ni kuifuta gen ya palestina na vita dhidi ya uislam indirectly hawa wakristo weusi walio akia ni kuhanikiza tu sherehe hawawashi hawazimi
 
Watu walikua wanakula bata zao mmeenda mkapiga mabomu na kuteka watu wao.
Mpk leo hamjarudisha.
Muizirail alisema ukiua wetu 1 tunaua 100 kwenu.
Idadi bado haijafika, wapigwe tu.
 
Hivi hakukuwa na uwezekano kwa Israel kuwatangazia wapalestina kuwa watoto na wazazi wao, na wale wote wasioafiki matendo ya Hamas, kujitokeza na kuorodheshwa na kisha wakaandaliwa makazi na kupewa huduma zote ndani ya Israel?

Najua kuwa Hamas, wakitaka kuwatumia ninyi raia kama ngao, raia mkitaka kukimbia wanawaua, lakini baada ya yale mashambulio ya awali, wale waliokimbilia kwenye makambi, ilikuwa rahisi kuwatenga wasio upande wa hao magaidi ya Hamas.

Kwanza kuwaandalia makazi ndani ya Israel, wakatendewa wema, hawa watoto wengi wao baadaye wangeamua kuwa raia wa Palestina, wasingetaka kwenda huko kwenye mateso na utawala dhalimu wa Hamas.

Zifanyike jitihada za kuokoa watoto hawa, wasio na maamhzi, na wale wote wasio washirika wa Hamas.
With or without Hamas wanauliwa, ingekua tatizo NI Hamas kule west bank wasingeuliwa, kuna waarabu wanaishi ndani ya Israel ila vyombo vyote vikubwa Amnesty, Human Right watch, Un etc reports zao zinaonesha ni second Citizen wasio na haki.
 
Wazungu wote ppte walipo Lao moja ni kuifuta gen ya palestina na vita dhidi ya uislam indirectly hawa wakristo weusi walio akia ni kuhanikiza tu sherehe hawawashi hawazimi
Waisrael hawaangalii Huyu muisilamu huyu Mkristo, Makanisa yanalipuliwa kama misikiti, Mapadre wanauliwa kama masheikh, mtu yoyote anaefikiri hapo wanaopigwa ni waisilamu tu ujue Iq yake ni ya kuvukia barabara tu.
 
Mhe Papa ametoa mbadala kwa Israel kwamba ifanyaje pale inapovamiwa? Ifanyeje ili kujilinda? Ifanye nini Israel ili yaliotokea October 07, 24 yasitokee tena? Papa, katoa ushauri gani kwa Israel endapo magaidi yale yakijificha kwenye kambi za watoto na yana silaha? Kama hana alternative better him shut up his mouth cause maneno yake yataonekana kama ni kelele tu
Watoto wa Palestina hawaja anza kuuliwa tarehe 7 October, wameanza kuuliwa toka 1948

Hii article ya October 6, siku moja kabla ya Tukio, mwaka 2023 hata kabla ya uvamizi wa Israel ilikuwa ni deadliest year kwa watoto wa Palestina

Na hii Article nyengine ya kuhusu west bank

West Bank pekee Watu zaidi ya 200 wameuliwa just for fun, mpaka watoto wadogo wanaocheza hao jamaa wanawaua.

Unahitaji fuse kadhaa kichwani kulegea kuwatetea
 
Unadhani ni kwanini na wewe umeanzia 1948?
 
Back
Top Bottom