Duh noma kweli abadilishe dini? DuhKesha jibiwa majibu murua na Israel.. atulie au abadilishe dini awe muislam.. issue ya mateka mpumbavu yeyete akiingilia atakwama tu.. awaambie waislam wenzake wawaachie mateka.. kitendo cha maigizo ya sanamu ya yesu kuwekewa kiremba cha wapalestina ni ukosefu wa adabu wa Papa Jeses was born in jew and die in jew and raised in jew asituletee usilamu wake mchafu. Vita haiishi bila mateka alete uongo wote hatafua dafu..ajiunge na waislam wote hatomuweza Netanyahu
Siku zote kichaa anachekesha iwapo sio ndugu yakoPapa tunakuheshimu ila kwa Israel atulie kabisa magaidi lugha anayotumia Israel kuwafikishia ujumbe ndio wanaielewa zaidi
Hivi hakukuwa na uwezekano kwa Israel kuwatangazia wapalestina kuwa watoto na wazazi wao, na wale wote wasioafiki matendo ya Hamas, kujitokeza na kuorodheshwa na kisha wakaandaliwa makazi na kupewa huduma zote ndani ya Israel?Huo ni ukweli...kwanini hao magaidi yanatumia watoto km ngao yao.
With or without Hamas wanauliwa, ingekua tatizo NI Hamas kule west bank wasingeuliwa, kuna waarabu wanaishi ndani ya Israel ila vyombo vyote vikubwa Amnesty, Human Right watch, Un etc reports zao zinaonesha ni second Citizen wasio na haki.Hivi hakukuwa na uwezekano kwa Israel kuwatangazia wapalestina kuwa watoto na wazazi wao, na wale wote wasioafiki matendo ya Hamas, kujitokeza na kuorodheshwa na kisha wakaandaliwa makazi na kupewa huduma zote ndani ya Israel?
Najua kuwa Hamas, wakitaka kuwatumia ninyi raia kama ngao, raia mkitaka kukimbia wanawaua, lakini baada ya yale mashambulio ya awali, wale waliokimbilia kwenye makambi, ilikuwa rahisi kuwatenga wasio upande wa hao magaidi ya Hamas.
Kwanza kuwaandalia makazi ndani ya Israel, wakatendewa wema, hawa watoto wengi wao baadaye wangeamua kuwa raia wa Palestina, wasingetaka kwenda huko kwenye mateso na utawala dhalimu wa Hamas.
Zifanyike jitihada za kuokoa watoto hawa, wasio na maamhzi, na wale wote wasio washirika wa Hamas.
Waisrael hawaangalii Huyu muisilamu huyu Mkristo, Makanisa yanalipuliwa kama misikiti, Mapadre wanauliwa kama masheikh, mtu yoyote anaefikiri hapo wanaopigwa ni waisilamu tu ujue Iq yake ni ya kuvukia barabara tu.Wazungu wote ppte walipo Lao moja ni kuifuta gen ya palestina na vita dhidi ya uislam indirectly hawa wakristo weusi walio akia ni kuhanikiza tu sherehe hawawashi hawazimi
Watoto wa Palestina hawaja anza kuuliwa tarehe 7 October, wameanza kuuliwa toka 1948Mhe Papa ametoa mbadala kwa Israel kwamba ifanyaje pale inapovamiwa? Ifanyeje ili kujilinda? Ifanye nini Israel ili yaliotokea October 07, 24 yasitokee tena? Papa, katoa ushauri gani kwa Israel endapo magaidi yale yakijificha kwenye kambi za watoto na yana silaha? Kama hana alternative better him shut up his mouth cause maneno yake yataonekana kama ni kelele tu
Unadhani ni kwanini na wewe umeanzia 1948?Watoto wa Palestina hawaja anza kuuliwa tarehe 7 October, wameanza kuuliwa toka 1948
Hii article ya October 6, siku moja kabla ya Tukio, mwaka 2023 hata kabla ya uvamizi wa Israel ilikuwa ni deadliest year kwa watoto wa Palestina
Na hii Article nyengine ya kuhusu west bank
For Palestinians in the West Bank, 2023 was the deadliest year on record - occupied Palestinian territory
News and Press Release in English on occupied Palestinian territory about Health, Protection and Human Rights and more; published on 15 Dec 2023 by MSFreliefweb.int
West Bank pekee Watu zaidi ya 200 wameuliwa just for fun, mpaka watoto wadogo wanaocheza hao jamaa wanawaua.
Unahitaji fuse kadhaa kichwani kulegea kuwatetea