Papa Francis Azungumzia Tena Suala La Kujiuzulu

Papa Francis Azungumzia Tena Suala La Kujiuzulu

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
54,894
Reaction score
64,043
Papa Francis Amesema Anaweza Kuachia Cheo Chake Kutokana Na Kusumbuliwa Kiafya Hasa Goti Lake
Ikiwa Atafanya Hivyo Basi Atafuata Nyayo Za Mtangulizi Wake Papa Benedict Ambaye Alipojiuzuru Nafasi Hiyo Kwasasa Anaishi Vatican

Ingawa Papa Francis Tangu Aapishwe Amekuwa Akisema Endapo Kazi Zitamzidia Ataachia Ngazi, Ili Aweze Kupambana Kuidhibiti Afya Yake Isizorote Kupitia Majukumu Aliyonayo
 
Ana kauli tata sijui kama moshi wa kumpata ulikuwa mweupe pe.
Akiachia ngazi tuwe makini na rangi ya moshi ili tumpate Papa kama John Paul II.
 
Ana kauli tata sijui kama moshi wa kumpata ulikuwa mweupe pe.
Akiachia ngazi tuwe makini na rangi ya moshi ili tumpate Papa kama John Paul II.
Changamoto Yawezakuwa Moshi Kumbe Ulichakachuliwa
 
John Paul II alikomaa sana

Alipigwa risasi still akawa firm.

Hadi umauti ulipomkuta.
 
John Paul II alikomaa sana

Alipigwa risasi still akawa firm.

Hadi umauti ulipomkuta.
Alipitia Misukosuko Sana Lakini Alistahimiri
Papa Francis Ametengua Ziara Ya Ukraine Changamoto Goti


Iwapo Atajiuzuru Itakuwa Sasa Ndiyo Utaratibu Mpya Wa Kanisa
 
Back
Top Bottom