Papa Kutoka Marekani inawezekana isiwe habari nzuri sana kwa CCM

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Kufa kwa nyani miti yote huteleza.ndicho nachoweza kusema. Leo hii CCM wapo mbele kupambana na kanisa katoliki Tanzania.

CCM wanaminya democracy na haki za raia katika uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. Sasa.kazi kwenu kushoto Trump kulia Papa Leo Samia ana bahati.mbaya sana.

Nawakumbusha tu huyu.Papa.mpya alishawahi kuja Tamzani kwa kazi za kitume..kwa hiyo hata Kitima anamfahamau vizuri sana ndo maana nasema kwa CCM inaweza kuwa habari mbaya sana.

Huyo Tundu Lissu mnayemtesa familia yake ipo marekani what a coincidence..

Check Comment ya Trump.
​

Picha papa mpya alivyotembelea Tanzania Morogoro akiwa Askofu.
​
 
Nadhani CCM ndie MPINGA KRISTO anaesemwa ktk kitabu cha ufunuo!! maana matendo ya CCM si ya kawaida.
 
Hee aisee nongwa tayari oya Mgerasi Maghayo umeona hii?
Papa alishafika Dar mpaka Moro
😁😁πŸ”₯
 
Wala haina uhusiano na Upapa wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…