Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

Anaeona Mungu ni Yesu yupo sawa, anaeona Mungu ni Ng'ombe yupo sawa, anaeona Mungu ni mti yupo sawa.

Kila mtu yupo sawa kwa mtazamo wake kikubwa ni kuwa na uhusiano mzuri na Mungu

Wengine badala ya kuwasifia Miungu au dini zao, wanakonda na kupata ukichaa sababu kanisa katoliki linasogea mdogo mdogo.
Sijawahi kuelewa kwanini mtu anawashwa na pilipili asiyoila
 
Kwa nin wakatolik mnalazimisha mambo yenu ya kanisani yawe ya Taifa Zima?
 
Inasikitisha sana wanapotaka kuaminisha watu kwamba mwenyezi Mungu eti kupitia moshi mweupe analeta pope atakaekuja kuvuruga imani ya waumini wake.
Mkuu hawaaminishi watu kama unavyotaka kusema. Fanya utafiti kwanza kuhusu utamaduni wa kutumia tofauti ya moshi kutoa taarifa ya upatikanaji wa papa kwa waumini wao.
 
πŸ€” πŸ€” πŸ€”
 
Mkuu ungeweka hadharani hiko kifungu unachozungumzia wote tukione ili kuthibitisha unachosema. Pamoja na yote maoni na mtazamo wako yaheshimiwe.
 

Kanisa limetekwa nyara. Waumini tupiganie nafsi zetu. Maana mchungaji badala ya kupeleka kondoo kwenye malisho sahihi, anapeleka kondoo katikati ya mbwa mwitu.
 
Kanisa limetekwa nyara. Waumini tupiganie nafsi zetu. Maana mchungaji badala ya kupeleka kondoo kwenye malisho sahihi, anapeleka kondoo katikati ya mbwa mwitu.
Mkuu je, kama kinyume chake ndio sahihi inakuwa je? Je wajua Kanisa Katoliki lilishawahi kuwa mbwa mwitu na kula kondoo wake vibaya mno?? Kasome historia yake.
 
πŸ™‹βœοΈπŸŽ―πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ€πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…