Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

Rudi kwenye kauli tata.Hebu weka hizo kauli tata tujadili hapa.
 
Ni suala la muda tu, mnaandaliwq kisokolojia, siku mkitamkiwa kua ni ruksa kua punga msighafirike bali mlitetee kanisa.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Wakatoriki wengi maandiko ni chenga, ila kulitetea kanisa sasa, wanalitetea kinoma kwa kila baya.
πŸ™‹βœοΈπŸŽ―πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ€πŸ™
 
Dunia hii watu walishafilimbana tangu zamani haya tunayoyaona ni machache laiti tungekuwa na uwezo wa kuingia kwenye vyumba vya watu basi tungehamia Mars hali sio
πŸ™‹βœοΈπŸŽ―πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ€πŸ™
 
Sisi shithole Countries kwa sasa tu struggle kwanza na wellness yetu, Haya mambo ya Ushoga kwetu sio agenda mana bado tunachangamoto nyingi sana za Kushugulikia Ivo haina haja ya Kuyapa airtime hayo mambo kwa sasa
 
Mkuu yesu hakuacha Kanisa, aliacha Sinagogi ambalo tafsiri yake ni Msikiti.

Na kwa taarifa yako Yesu hakuwahi kuwa Mkristo na wala hakuanzisha ukristo!

Usipotoshe watu!
 
Lugha ni formalities tu, but kama ujumbe umefika hamna haja ya matusi. Kama huelewi lugha omba usaidiwe si matusi
πŸ™‹βœοΈπŸŽ―πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ€πŸ™πŸŽπŸŽ–οΈ
 
Mkuu yesu hakuacha Kanisa, aliacha Sinagogi ambalo tafsiri yake ni Msikiti.

Na kwa taarifa yako Yesu hakuwahi kuwa Mkristo na wala hakuanzisha ukristo!

Usipotoshe watu!
Kanisa ni nini?

Ukristu ni nini?
 
Mshauri wa mama ni nani kwa mfano?
 
Yule papa alikua anaboa sana kauli zake, huyu nae akifata nyayo mshumaa uzime tu kwakweli.....inakera
Lakini tulimuita baba mtakatifu na atabaki kuwa mtakatifu, haya mambo bwana ngoja tuone
 
Mimi ni mkatoliki ila toka walitoa historia ya mapapa kutokea Africa eti ni watatu ambao kabla dunia ilikuwa haijaumbwa nilichoka weee mwafrica gani alikuwa papa mwaka wa 300s mara mwaka wa 190s sijui hukoooo afu saivi mchakato ukifanyika hakuna kadinali mweusi anayepata huo moshi mweupe hahahhaa haya mambo ngoja tuonee DeepPond
 
Wew sio mkatolin , wew ni muasi wa iman yako ya asili ya Afrika na unajificha kweny ukatoliki

Huez kuwa mkimbiz ukapewa madaraka ukimbiz unless iyo nchi iwe failed state
 
Mie swala la waafrica kuenguliwa hata halinishtui, waafrica sisi tabia zetu tunazijua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni zile zile kwa mtu wa kawaida ni zile zile kwa viongozi...... Tuondolewe tu hadi pale tutakapouwa na tabia zinazofaa πŸ˜‚
 
Alisema mashoga ni binadamu sawa na wengine, ni watu waliochagua starehe yao, tusiwatenge.
 
Mkuu usisahau historia ya mara kadhaa ya viongozi wa Kisabato walivyofilisi waumini wao na maelfu kufa kwa uongo wa kalenda ya kurudi kwa Yesu Kristo.
Hao walikuwa wasabato au baptists? Fuatilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…