Anzisha dini yenu, mchague papa wenu.Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekua mshauri mkuu WA papa Francis aliefariki, na wakatoriki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokua akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti WA papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
666 ni porojo za alinacha tu kama hadithi za bibi yangu za mazimwi kutoa moto makalioniUkikizingatia picha ya Trump na joho la Papa+NWO=chapa 666.
Hakuna Mungu aliyemweka hapo.Hufikiri kwamba pengine ni Mungu Ndiye aliyemweka hapo?
Anaeona Mungu ni Yesu yupo sawa, anaeona Mungu ni Ng'ombe yupo sawa, anaeona Mungu ni mti yupo sawa.Mungu kwa mtazamo upi!?.. maana wengine Mungu wao yesu, ng'ombe
Hukusoma logic a level kwenye pure advanced mathematics!!?..miungu tofauti iweje sawa!?Anaeona Mungu ni Yesu yupo sawa, anaeona Mungu ni Ng'ombe yupo sawa, anaeona Mungu ni mti yupo sawa.
Kila mtu yupo sawa kwa mtazamo wake kikubwa ni kuwa na uhusiano mzuri na Mungu
Nliishia la sabaHukusoma logic a level kwenye pure advanced mathematics!!?..miungu tofauti iweje sawa!?
Hata wanaoabudu jiwe kua ni mungu pia wapo sawaHukusoma logic a level kwenye pure advanced mathematics!!?..miungu tofauti iweje sawa!?
branch ya africa ijitegemeeKwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekua mshauri mkuu WA papa Francis aliefariki, na wakatoriki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokua akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti WA papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
Ndiyo,ntamnunulia,huku kwenye abaya hakuna kuhalalisha usenge,wote ni binadam hakuna mtakatifu
Ni hadithi za kurithishana vizazi kwa vizazi ndio zinaendeleza idea ya uwepo wa Mungu.Hata wanaoabudu jiwe kua ni mungu pia wapo sawa
......kikubwa ni nani aliefix hizo ideology za mungu kichwani mwako
EU nao umewasikiliza?Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekua mshauri mkuu WA papa Francis aliefariki, na wakatoriki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokua akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti WA papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
Sahii kabisa,Yule papa alikua anaboa sana kauli zake, huyu nae akifata nyayo mshumaa uzime tu kwakweli.....inakera
Papa alipenda taharuki 😂😂😂Sahii kabisa,
Maana tulipokua tunahisi Kama amenukuliwa vibaya, kesho yake anakuja kukazia Tena kauli zake zile zile alizotamka Jana yake.
Heee.mpwaaaa hujasikia hotuba yake yeye na muagustino nahisi mambo ya dini na pia amekuwa mshauri.mzuri.wampope na atafwataa njia zakeKwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekua mshauri mkuu WA papa Francis aliefariki, na wakatoriki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokua akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti WA papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
Katoriki ndiyo nini wewe?Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.