Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

Na kasema anafwata nyendoo za papa alieomdokaa
Ubaya ubwelaa mpwaa
 
YAANI WAKATI MNAHANGAIKA TOKA JANA NANI PAPA ANAEFWATA

MWENZENU TRUMP ALiKUA ANAWACHEKA NA MOSHI WENU AISEE HIVI SASA WATUPE WA BLUE HIZI NYEUSI NYEUPE ATUTAKI TENA

Nahisi alikuwa anaulizia hamjamalizanaa pls fastaa

Trump de tarrif. De la Pope
 
Trump kashinda tarrif mpaka kwenye uchaguzi WA Pope

Hapa HATA china haion ndani kapigwa ,200%

Potelea mbali alafu akamalizia mazunagumzo yanaruhusiwa
Makady wakaona usiwe taabu kivile YAISHE mkuu

ENDELEEN kubishana nae Huyu mwamba mtanielewa siku moja
 
Kwamba pia uchaguzi wa papa nao haukua huru na Haki?
Mpwaaaaa kwa Ile pichaaa ya Asbh ya trump na vazi lakeeee

Mpwa HAPO Cas karudisha kesi
FFT Wakatangaza

Ile nyeusi
Mara nyeusi Tena

Mar a nyeupeee Ile kuna waliogoma.kuingia uwanjani wakahhirisha WAKARUDI wakamaliza kazii

Napata ka wine kangu kamebarikiwa na Pope

Matokeoo
 


Kuna tofauti kubwa sana kati ya MUNGU na dini 👉dini Ndio iliyompinga kristo na mwisho kumsulubisha

Bahati mbaya watu wengi wanafuata dini wakidhani wanamfuata MUNGU.
 
Kifupi
KUNA genge maarufu sikumbuki jina gani.mkuu.nilisoma kitabu KIMOJA Hilo ndilo linawapa nani wanataka na mkikomaa na WENUU mnazika mapema tu

Zile Moshi Arusha mbeya n yeusi NYEUPE
Kizungumkuti tu
 
Inaweza kuwa hivyo ilivyo ila kuhusiana na kuwa mshauri WA hayati sifikiri kama ilivyokwa Rais na Makamo ila labda alikuwa moja ya mawaziri.

Ukileta nadharia ya Trump tar 3.5.2025 na kilichojiri 8.5.2025 utahisi kuna namna ila inaweza kuwa NI Mungu alimtumia Trump kufikisha ujumbe kwa Jamii.

Misimamo kuhusiana na mashoga na Jamii zao inahitajika hekima Sana ,lasivyo utaacha ombwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…