Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

Kanisa takatifu la mitume wa kwanza mashoga.....
Saint Sergis na Saint Bacchu....

 
Ukizingatia maana na asili ya neno catholic, sioni ajabu kwa yanayofanyika ,kwani hili linaloitwa kanisa takatifu ni serikali inayojua nini inafanya,kama wewe ni mfuatiliaji kuna mzuri utagundua the roman catholic church imefanya blasphemy nyingi tokea miaka ya zamani mpaka kesho jioni . Ukisoma THE GREAT ENCYCLICAL LETTERS OF
POPE LEO XIII.

Chapter: THE REUNION OF CHRISTENDOM (page 303-307)
utaona jinsi gani kanisa hili lisivyo husiana kabisa na Mungu wa kweli badala yake linapotosha watu.
 
Tunapaswa kuamini? Said who?
Zile zilikuwa kauli binafsi za pope si msimamo wa kanisa katoliki.
kila pope huwa ana characters zake na agenda zake
 
Kanisa lipi ambalo watumish wake hawana record chafu?
 
Mlishaambiwa hizi dini si zetu tumeletewa tu ili kuchezewa akili lakini bado tu hamtaki kujitambua. Imagine Mwafrika unajiita Mkristu ama Muislam ili iweje, hivi hamuoni haibu kweli?
 

Mimi nilifikiri Papa anachaguliwa na Yesu, sasa Yesu amechagua kimkakati? Kwq huyo unasema Africa mmepigwa na Yesu au?

Scam
 
Tatizo hili… mnaweka siasa kila sehemu

Catholic Church is not the biggest kibwegebwege… na kamwe haliendi Kwa namna unavyotaka

Values zake, procedures zako na malengo ya miaka 2000 ijayo ni zaidi ya Siri na yamini
 
mungu akusamehe kwa kuwa ujui usemalo..Papa ana wasaidizi /washauri zaidi ya 10.Na akuna ishu ya katoliki kukumbatia Ushoga.na wala Katoliki awana na awabariki Ushoga na aitotokea kama vile kuja kuwa na Mapadre wa kike au mapadre kuja kuoa...Ni mapema mno kumuhukumu huyu new pope tumpe muda
 
Hatukumuelewa Trump alipost kavaa vazi la papa ila baada ya hili tendo tumemuelewa kwanini alipost vile
 
Pole mvàa kobazi unateseka ukiwa wapi?

PAPA MPYA ni sahibi , Trump suala la usboga alishalipinga na amewafukuza KAZI wote waliobadili jinsia.

Na Trump amesema anataka kuurejesha ukristo marekani na misingi yake.

Lakini papa mpya ambae anatoka marekani ataweza pia kumshawishi Trump aingilie kati huko Nigeria kwani Kila mwezi mapadre wanauliwa.

Hivyo papa mpya atakuwa na mvutio kwa Trump ili aweze kuingilia suala la Amani kwa wakristo huko Nigeria.

Pole sana mvàa makobazi.
 
Papa mpya amechaguliwa ataisema ajenda yake within the next few days.
Lakini wewe mwenzetu umeshajua Papa atafanya nini hata kabla hajaongea.
Kama akisema ushoga ni jambo zuri sana,basi tena,kwa sababu sasa tumeshazoea hawa viongozi wa juu kabisa wa Dini kusema mambo ya ajabu.
Kwa hiyo akili kichwani kwako,bwana.
Ah yes,naona hapa maneno hayaishi.
Huyu Cardinali inasemekana kwamba aliwahi kupuuzia sex scandal zilipotokea.
Lakini sasa hivi kuna Trade War duniani ambayo imeanzishwa na Trump. Mi naona kumchagua American Pope wakati huu ni apt.

Raymond Arroyo anasema Cardinals 108 kati ya wale 133 waliokuwa wanapiga kura wamechaguliwa na Pope Francis,kwa hiyo,wataendeleza sera za Pope Francis.
Halafu kuna tatizo la hela: deficit ya $2 billion katika Kanisa
$400,000,000 in pensions kwa hiyo makadinali kutoka Africa na sehemi zingine wakaona tumlete huyu Mmarekani labda itasaidia..

Anapinga homosexuality.
Nadhani hivyo ndivyo alivyopata broad support from the third world countries.
 
Njoo uvae abaya,achana na wahuni wanaojipa utakatifu wakati Wana dhambi kedekede,papa aliyefariki alikua baunsa wa night club huko Bueno saires argentina,akaleta mambo ya night club vatican kwa kushajiisha uchoko
Aliyekamilika ni Mungu peke yake watu hudhani mitume na manabii ,zamani hawakuwa na dhambi mtizame hata Daudi tu kama case study ..... Wewe mwenyewe umekamilik?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…