Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

Wabongo bana! Tayari tunajua siri zote za Vatican na za wakubwa!😀😀😛
 
Naunga mkono hoja,nililisema hili jana kwenye ka-grouop changu cha secondary,nikapopolewa weee na wasiofuatilia mambo ila mwisho wa siku wakatulia
 
Mkuu hivi umewahi kujiuliza ni kwanini kanisa katoliki linaitwa "Roman Catholic" wakati Yesu hakuwa mrumi wala hakuna mtume yoyote wa Yesu aliekua anatokea Rome?

Ukipata majibu ya hilo swali utaelewa Roman Catholic ni taasisi ya aina gani na malengo yake ni yapi hapa duniani.
 


Waovu wanashangiliwa kwa uovu wao kwa sababu watu wema wamejaa uoga .

Hivi adui wa Watanzania kwa sasa ni mashoga au watekaji wasiojulikana .
Waafrika wamejawa na madhambi chungu nzima kama wizi wa mali za umma,ugaidi ,utekaji ,uuaji,uchawi ,mauaji uzinzi , unafiki ,uongo na dhulma lakinav~[

Yaani kwa mfano wewe unataka Papa kazi yake iwe ni kujibu maswali ya ushoga na kutoa kauli kali kwa mashoga duniani wakati kila nchi ina sheria zake ?

Tamko la vatikani linatakiwa kutolewa kwa hekima kubwa sana maana linakua ni mwongozo wa kanisa.

Shoga kwa mfano akija Kanisani kuombewa wewe ungekuwa padri ungemfukuza ?

Na ukumbuke mashoga wa Ulaya sio kama wale wanaonuka ukurutu kule Zanzibar na Kibindoni na Manzese . Ni watu ambao huwezi kuwadhania mpaka wajitambulishe. Amekuja fadha niombee kwa Mungu maana na mimi ni kiumbe cha Mwenyezi Mungu ? Je, ungekataa ?

Je, Sio Mungu mwenye kila kitu lakini hakumuua shetani na alimsikiliza alipoomba kuwa niachie niwajaribu hawa binadamu ili nipate wakwangu?

Kama Mungu alimpa shetani ruhusa ya kile alichoomba Papa ni nani aweke kanuni za kuwafukuza na kuwanyanyasa wanaotaka kuombewa ?

Yaani sasa mnataka pawe na tamko kuwanyanyasa watu Wanaotuhumiwa kwa ushoga dunia nzima ?
Kwa nini mabunge yenye dhamana hiyo yasitunge sheria kulingana na tamaduni zao? Lakini pia Wezi kwa mfano wa pesa za wizara ya Afya ni hatari kuliko Mashoga maana wanasababisha maelfu na Malaki ya watu wanakufa kwa kukosa huduma ya Afya .
Magaidi mfano wanaoua watu kule Nigeria ,Kongo ,Palestina ni hatari kwa jamii nzima kuliko ,mashoga ambao kimsingi huko kwa wazungu ni kama igizo fulani linachezwa ili waafrika waige na kupunguza kizazi cha Mwafrika .
Anajitokeza tu Tajiri mmoja na mtu maarufu huko Ulaya anajitangaza kuwa ni shoga . Lazima tujiulize ni shoga kweli au kuna igizo hapo kwa nini ajitangaze halafu anaowatuma huko Afrika wanakuja kwa kificho ?
 
Hamna kanisa linaloitwa Roman Catholic.
 
Hatukumuelewa Trump alipost kavaa vazi la papa ila baada ya hili tendo tumemuelewa kwanini alipost vile
Kitendo cha kuamini kwamba Trump alijitengenezea picha akiwa amevaa kama pope kinatilia mashaka umahiri wako wa kudadisi mambo kwa kina ili upate taarifa zilizo sahihi.
 
Tusikimbiekimbie...tayari tu wadhambi
Tujitakase...hakuna kunyosheana mikono hapa,wote tu wadhambi..
Tunafanya hii tunaikataa ile...tujitakase tuna dhambi nyingi,tunapofanya dhambi hii tunafungua mlango wa dhambi ile
 
Kwenye hotuba yake ya kwanza tu anasema "kuheshimu haki ya kila mtu"
Hilo tu tayari inaonesha ni mtu wa aina gani.
 
Uislamu umeleta mfumo kamili wa maisha (siasa, uchumi, ndoa, urithi, haki).

Qur’an 5:3:

"...Leo nimekukamilishieni dini yenu, na nimetimiza neema Yangu juu yenu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe ndiyo dini..."
 

Picha zilikuwa nyingi tu hata Ruto, Raila na wengine walivalishwa nguo kama hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…