Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

Tambua democrat ndio waliruhusu ushoga ila republic hawaruhusu ushoga tofautisha coz republic ni wainjilisti zaidi acha kulopoka wewe
 
Kabla hajafikia kua shoga, tayar atakua ashajutia dalili za huo Ushoga anaouelekea
 
Naongelea Imani yangu, (Roman Catholic), waislamu wataongelewa na waislamu wenzao
Kwan papa ni kiongoz wa waroma au waislam ? Mbona huangaiki na masheikh wanaosapoti mauaji ya watoto huko Somalia kwa kukusanya wapiganaj hapa kwetu na kuwapeleka Somalia kupigana
 
Nadhani
YAANI WAKATI MNAHANGAIKA TOKA JANA NANI PAPA ANAEFWATA

MWENZENU TRUMP ALiKUA ANAWACHEKA NA MOSHI WENU AISEE HIVI SASA WATUPE WA BLUE HIZI NYEUSI NYEUPE ATUTAKI TENA

Nahisi alikuwa anaulizia hamjamalizanaa pls fastaa

Trump de tarrif. De la Pope
ndio maana wanalishwa viapo vya Siri huko kwenye uchaguzi wao. Hakuna uchaguzi huko ni maagizo tu zamu hii ni Fulani. Ile kuchoma makaratasi yaliyotiwa chemicals ili yatoe Moshi mweusi na hatimae mweupe ni geresha tu ile inaitwa BABAISHA BWEGE.
 
TAfafhali, Nielimishe hapo mkuu
 
Hata wiki moja hana, tayari ushatoa hitimisho kuhusu misimamo yake.
 
Njoo uvae abaya,achana na wahuni wanaojipa utakatifu wakati Wana dhambi kedekede,papa aliyefariki alikua baunsa wa night club huko Bueno saires argentina,akaleta mambo ya night club vatican kwa kushajiisha uchoko
Huko kwenye Abaya ndiyo kuko salama?
 
Mkuu mie hata kanisani nilishaacha kuhudhuria kitambo sana.
Nasalia nyumbani na sadaka napeleka kwa wahitaji directly.
 
sio katoriki ni katoliki,na kanisa katoliki haliungi mkono ushoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…