Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

Anawajua maaskofu wote na makadinali dunia nzima

Hapo utajua wana maana gani
Ni kama wamembeba na inaonekana kulikuwa na mvutano mkubwa sana ndio maana ikachelewa

Hivi kuchaguliwa na mnaojuana si ndio rushwa tu hiyo ama
 
Kila kwenye ubaya na uzuri pia upo, huenda ukawa ni mwanzo mpya wa kuujua ukweli juu ya hii taasisi iliyokuwa imara kwa karne kadhaa.
Itatoa mwanga kwamba ni taasisi ya kimungu kweli ama ni institution like UN, IMF, WB and the alike ambayo imeundwa ili kufanikisha ajenda kadhaa za kiulimwengu.
Ni muda wa kukaa na kalamu na karatasi na kuandika kila kitu ambacho tumeanza kuwa suspicious katika kuuelekea ukweli.
Hata mimi nimeshtushwa na kitendo kilichofanywa na Trump siku kadhaa nyuma kutengeneza picha akiwa amevalia mavazi ya Kipapa na kuchapisha picha ile ulimwengu mzima waione kisha baada ya siku kadhaa tunapata Papa mwenye uraia wa Marekani.
Nawaza kwa kitendo kile na hiki kilichotokea ni coincidence au kuna kitu under the curtain ambacho wengi hatukifahamu.
 
Kinachonitia hofu zaidi ni media za Magharibi kufurahia sana.

Ila kwenye mafundisho ya msingi mtazamo wake mpaka sasa (kama hatabadilika) ni kupinga utoaji mimba, ndoa za jinsia moja, n.k.

Vyovyote itakavyokuwa, milango ya kuzima haitalishinda Kanisa la kweli lililoachwa na Kristu.
 
Aliyekamilika ni Mungu peke yake watu hudhani mitume na manabii ,zamani hawakuwa na dhambi mtizame hata Daudi tu kama case study ..... Wewe mwenyewe umekamilik?
Daudi hakuzini, biblia ina kawaida ya kumtukana Mungu na manabii wake,ndiyo manabii walifanya (musa aliua mtu japo ni kabla hajawa nabii)makosa lakini daudi hakuzini
 
Mmeanza kumpaka mavi kbala hata hajaingia ofcn umeshamtabiria mabaya na mambo ya ushoga hv africa tuna nn lkn
 
Kwenye ukatoliki kauli ya mkubwa wako ni amri
 
Kwahiyo kuna binadamu anaaminishwa kuwa kuwa zile kemikali ndani za Conclave zinamsikiliza Mungu na kutoa majibu yake huyo Mungu.. So pathetic.
Sasa haya maigizo na Jiwe la Israel, Asali ya Mwambani n.k za Kuhani Tapeli wa Kimara na Maji na Mafuta ya Upako ya Mjasiriamali Mwamposa yana tofauti gani?
 
 
Kitu usichokijua ni kama usiku wa giza. Huyu hakuwa mshauri mkuu.

Alikuwa anasimamia uchaguzi wa maaskofu dunia nzima.
Alijijengea marafiki wengi. Ndio maana alipata support.
Kwa jinsi kanisa lilivyo, muundo wake hauna mshauri mkuu wa Pope
Jamaa anaandika kitu asichokuwa na uhakika nacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…