Tujiulize marehemu MPAKANJIA alikua na biashara gani mpaka akasifika hivyo?
watu wanaomwaga pesa ovyo ni tatizo kwenye nchi yoyote...hebu muangalie sabodo hawez kufany ki2 kama hyo coz hana pesa chafu
mbona hana pingu au...anafull immunity.
HII NDIO INAYOONEKANA WAZI.HELA INAWAFANYA HATA WALINZI WETU WA USALAMA WASIWE NA MAKEK JUU YA PAPA MSOFE..PESA FEDHEHA!!
Utapeli uliwahi kuletwa hapa
Friday, August 10, 2012
PAPA MSOFE AFIKISHWA KORTINI KWA MAUAJI
Mfanyabiashara maarufu, jijini Dar es Salaam, Marijani Msofe 'Papa Msofe', akiongozwa na Askari Polisi na Magereza kuingia kwenye chumba cha Mahakama ya Kisutu kwa ajili ya kusomewa shitaka la mauaji ya Onesphory Kitoli, mahakamani hapo leo
Mfanyabiashara maarufu, jijini Dar es Salaam, Marijani Msofe 'Papa Msofe', akiongozwa na Askari Polisi na Magereza kuingia kwenye chumba cha Mahakama ya Kisutu kwa ajili ya kusomewa shitaka la mauaji ya Onesphory Kitoli, mahakamani hapo
Papa Msofe akiandikishwa jina lake na Polisi
VIJANA WA USALAMA WANAUZA SURA BADALA YA KUMLINDA MTUHUMIWA:
Pesa na umaarufu kiboko bana..........hata polisi wanakosa confidence!!! Angekuwa mwana CHADEMA hapo
nawakubari sana wachina,
hawana huu muda wa kubeba wachache na kuumiza wengi,ebu jaribuni kufuatilia kesi ya aliyekuwa kiongozi mkuu wa chama cha kijamaa bwana Bo Xilai
mke wake alijihusiha na mauwaji ya mfanyabiashara wa UK na hii imepelekea bwana Bo Xilai kufukuzwa chamani bila kuonewa aibu na mke wake ameshitakiwa kwa kesi ya mauwaji je Tanzania tunaweza hili?
THE wife of the former Chinese leader at the centre of a political scandal did not deny murder at her one-day trial.
Gu Kailai, wife of disgraced politician Bo Xilai, was accused during the trial of poisoning 41-year-old British businessman Neil Heywood after going to drink with him in the hotel room where he was found dead last November, court official Tang Yigan told journalists.She did not deny murder during her one-day trial, which ended Thursday with no verdict, the court said.Gu's government-appointed lawyer did not challenge the charge, but said she had "made significant contributions by reporting offences by other people" and her cooperation should be taken into account, Mr Tang said.He gave no further details, but state news agency Xinhua reported shortly after the hearing in the eastern city of Hefei that four police officials would go on trial for "covering up" Gu's alleged crimes.All four worked in the southwestern city of Chongqing, where Heywood died, and where Gu's husband Mr Bo was Communist Party secretary until he was sacked in March after the allegations first emerged.
nimaamini hili fashisti lina uhusiano na ndama. Ninamfahamu vizuri sana ndama. Ndama shaabani amepata utajiri wa ajabu. Ndama alimaliza shule ya msingi ubungo n.h.c mwaka 1989 na akasoma tambaza sec 1990 - 1993. Ndama alikuwa karibu sana na lile jangili puzza (william jackson)janafunzi la tambaza lililojiua nyumbani kwao nmabibo mwezi june mwaka 1991.
Ninaamini kuna connection na police kwani ndama ana undugu na igp said mwema. Kumbuka ndama alikuwa na kesi ya mauaji
ya albino.....na alikamatwa .....lakini huwezi amini ile kesi haijulikani imeishaje......
wameliza sana watanzania na wageni, ukienda kule Tegeta ndio utajua kazi za hawa watu kwenye umiliki wa ardhi. Wameharibu ofisi za umma ikiwemo wizara ya Ardhi, TRA,polisi nk.