Papaa Musofe mbaroni kwa mauaji!

Miaka ya nyuma kidogo Papaa Msoffe na Alex Massawe walitangazwa na Mahakama ya Kisutu ni watu hatari kwa jamii ya Watanzania.
 
Leo nimeongea na jamaa mmoja ambaye yuko karibu sana na Marijani Msofe ambaye mjini ni maarufu kama papaa msofe na anasema jamaa alishauriwa na Polisi wapeleke hiyo issue mahakamani haraka ili wawafunge mdomo watu maana hiyo issue inahusiana na murder lakini haina ushahidi uliokaa vizuri.

Anasema wamemwambia akishapeleka issue mahakamani atapewa dhamana ni kuanzia hapo hakuna mtu ataruhusiwa kuijadili maana itakuwa mahakamani hivyo watakuwa wamewafunga mdomo wambeya wote. Huyu jamaa siyo tu kwamba yuko karibu na wakubwa wote wa Polisi bali pia watu wa siasa.

Picha yake naona watu wameshaiweka hama sehemu nyingi kwenye hii thread na tena ni latest maana yuko hivyohivyo!

Jamaa ni mtu hatari sana na wapambe wake wanajisifia nae sana ila serekali sijui ikowapi? hata baada ya watu kutoa ushahidi wote huku hakuna anayeongea. Yaani Nipashe kuandika habari zake na kutoa hata jina lake wamejitahidi sana lakini naambiwa huyo muandishi makore wanamtafuta.

wanasema kesho kutwa watamaliza hii issue.

Hawa jamaa waliopoteza mtu wao wakitaka waende kwa waziri mkuu angalau wanaweza hata kuwa na msaada maana mahakamani hawa jamaa wanajisifu kuwa wamejipanga vizuri.
 
First person on the right..........

Aha aha ahaaaa. Watu wamekalia viti vya chuma,lakini Papa Mukulu kakalia Executive chair! Kweli hela mbaya.
Halafu Hilo Pambe lenye tai ya purple MKE wake kalipa muda wa kujiachia(curfew) mpaka saa 4:00 usiku, hapo ni saa 9:50 usiku ndio maana Lina majonzi kuziacha pombe za bure..

Hilo Pambe la kulia kwa Boss imebidi livae na kibanio cha purple kabisa kumfurahisha Mkulu Chuma ya Reli.

Hili shati linaloonekana mkono wa kushoto kwa Papaa linafanana na la Ahmed Msangi kwenye moja ya picha zilizo humu JF.
 

Ndio maana wanamwaga hela tu hawa jamaa jukwaani kwa wasanii sidhani kama ela yako umeiingiza kihalali kama utaimwaga namna hiyo, mbaya zaidi ela zao huwa haziendi kwenye shughuli za kijamii
 
Huyo mtu wa pili polisi wanamtafuta ni Alex Massawe (Carlos), yeye ndiye alimuuzia nyumba Papa Msoffe baada ya kuwa imewekwa rehani na marehemu. Pamoja na kwamba marehemu alikuwa tayari kurudisha pesa pamoja na interest walioyokuwa wamekubaliana na Massawe lakini Carlos alikataa na kuuza kwa Msoffe. kitu kinachomuunganisha Msoffe na tuhuma hizi ni vitisho alivyokuwa akimpa marehemu ili atoke kwenye nyumba aliyokuwa ameuziwa. Naamini Carlos ndiye aliyefanya mauaji haya, kwake yeye hakuna kinachoshindikana lakini kwa Msoffe hana ujasiri huo- yeye ni tapeli lakini sio jambazi tofauti na mwenzie.
 

i always love those who can use figures to tell stories. you is among them!!!!!!!!!!
 
Duh..bora nipige mbonji.ukiendekeza jf huwezi lala.AM OUT
 
hawa watu labda tuwaombe al-shabaab waje wachukue roho zao lakini kwa hawa wavaa crown hakuna haki
 
Alikuwepo Mtu anaitwa Moammar Ghadaffi aliyejimilikisha utajiri wa Libya kwa Miaka 40 aliishia kujificha kwenye pipa la takataka,atakuwa huyo limbukeni...
 
malipo yapo hapahapa duniani.tutauona mwisho wake
 
Mkuu nimefurahishwa sana na anlysis yako kuna mtu humu nilimuuliza kama anajua tofauti ya conman na Gangster na nadhani hakunielewa...Papaa hana guts za kumuua mtu hata kidogo..Ila massawe(Carlos) anazo,tena in a second....he order and you are down...
kama kuna mtu naamini Massawe ni powerful and ruthless kuliko Msofe mara Kumi...Nimewahi kusikia mzee kipindi chake aliwahi kuwa Hitman wa Serikali...
 
Na kwa tetesi ni kuwa Carlos alinusa taarifa akatambaa bondeni
 
Dah, unajua ni pigo kubwa sana?

Yaani hapa nawaza nikatafuta hata kazi ya kuuza genge.

Ila janmani, mwanamke midhahabu, na mwanamme midhahabu lol

Waambie waje wanione Kongosho...ila zamu hii mimi itabidi nile kwao. Mtu ya watu ananyea debe sasa tutafanyaje.
 

Kwa kweli Alex Massawe ni kati ya watu ambao hawana hata tone ya huruma panapokuja kwenye suala la pesa- kuna story moja kwamba moja ya nyumba zake alizokuwa nazo kariakoo alimlipa mzee mwenye nyumba pesa mida ya jioni akijua fika mzee wa watu hawezi kwenda benki- ilipofika usiku wakatumwa watu kwenda kuchukua zile pesa, mzee akawa ameuza nyumba bure!!! Asubuhi ilipofika Alex Massawe alifika kumtoa mzee wa watu kwenye nyumba kwa sababu alikuwa na mikataba yote halali.
 

Means?
 
 


Ndio akina Msangi?
 
Tupieni hapa jamvini CV ya huyu papaa! Aende kwa Dr. Hosea akavuliwe maana yeye anasema huvuliwa mapapaa wachache kwa mwaka. Kwa maneno mengine hata papa wa koko beach ambaye ni mla watu huachwa awateketeze watu kwa kuwa papa wachache wameshavuliwa mwaka huu. Musofe Papa kavuliwaje wakati sita wanatosha TZ kuvuliwa kwa mwaka? Ha ha ha ha ha ha!!! Apelekwe kwa M23 tunda la likizo ya Museveni Rwanda na Kagame Uganda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…