Baada ya pombe kukata kesho utaogopa kuufungua huu uzi wako bwashee.Kama umeniroga awee
Siambiwi kwawee
Overdose me
Your love dey overdose me
Paa pee pii papapuu
Your love dey overdose me
paa pee pii papapuu
Overdose
Joanah usiuchoshee huu moyo
Joanah upoze huu moyo
Joa Joanah usiuchoshe huu moyo
Joanah upozee huu moyoo
Natania bhana π
Enjoy goma hilo
Special dedication kwako nakuappreciate sana mkuu
mzabzab Mallerina Mshangazi dot com
min -me Red black @mwamdenyi Evelyn Salt Atoto realMamy nakwede97
mpitie huku
NB: Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake
Kwamba atakuwa anauchungulia kwa mbaali π€£π€£π€£Baada ya pombe kukata kesho utaogopa kuufungua huu uzi wako bwashee.
hahaha nakubali sana mkuu [emoji7]
Nikajua utaninyeshea sh!t [emoji23]
Hata amini kama ni yeye loko bia zimempeleka hivyo.Kwamba atakuwa anauchungulia kwa mbaali π€£π€£π€£
π€ π€ π€ hatari sanaHata amini kama ni yeye loko bia zimempeleka hivyo.
Hapana, shangazi tu inatosha π πshould I call you kungwi