Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Naona huu ndo wakati wakoKila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake
HeheheBaada ya pombe kukata kesho utaogopa kuufungua huu uzi wako bwashee.
Nataka nikusupport ufike juuu[emoji23]
unanitafutia balaa naona
Ngoja niamini[emoji3]
Haha nilifukuzwa na choir master naimba sauti ya 0
Tupia mchoro mmojahaha sawa me nachora lakini nisapoti huko.
Site wapinjoo site uone maajabu
Hehehehahaha naona ila nitakuwa sawa.