Pape Ousmane Sakho kimeeleweka huko

Pape Ousmane Sakho kimeeleweka huko

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Za ndani zinadai kuwa Msenegal huyu kapata Timu ambayo itamng'oa ndani ya Simba muda wowote kuanzia sasa na kuna uwezekano mkubwa asifike hata Simba Day.
 
Pape Ousmane Sakho ametusaidia kwa wakati wake kila la kheri kwake,biashara hii ni muda sana wanazungumza sijui ilikwama wapi..!
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Siyo tetesi tena..tumemuuza QRM ya Ufaransa kwa zaidi ya Bilion 2( siyo za udalali) za kwetu
 
37d302e4-b029-43aa-ae63-afeccf854315.jpg
 
Wabongo wajifunze kuchagua wakala bora, unaweza ukakuta Wakala kampambania sana mchezaji wake kupata timu ulaya na mijitu kutoka Magharibi inajua kutumia hizi nafasi,Sakho akiacha utoto wake baada ya misimu miwili au mitatu anaweza akacheza League 1.
 
Kutoka million 750 mpaka Billion 2?

Hongera zake Mo Dewji afidie kidogo hasara anazopata.
Hawa wachezaji wengi husajiliwa na wafadhili wa timu ie GSM, MO hivyo wakiuzwa lazima hela yao irudi na faida
 
Back
Top Bottom