Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Kutoka million 750 mpaka Billion 2?Siyo tetesi tena..tumemuuza QRM ya Ufaransa kwa zaidi ya Bilion 2( siyo za udalali) za kwetu
Biashara mzuriKutoka million 750 mpaka Billion 2?
Hongera zake Mo Dewji afidie kidogo hasara anazopata.
Hawa wachezaji wengi husajiliwa na wafadhili wa timu ie GSM, MO hivyo wakiuzwa lazima hela yao irudi na faidaKutoka million 750 mpaka Billion 2?
Hongera zake Mo Dewji afidie kidogo hasara anazopata.