Pape Ousmane Sakho10 ametajwa kwenye kinyang'anyiro cha kikosi bora cha kwanza Timu ya Taifa ya Senegal

Pape Ousmane Sakho10 ametajwa kwenye kinyang'anyiro cha kikosi bora cha kwanza Timu ya Taifa ya Senegal

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Pape Ousmane Sakho10 ametajwa kwenye kinyang'anyiro cha kikosi bora cha kwanza timu ya taifa ya senegal

Hongereni Simba SC Tanzania kwa kuonyesha kipaji cha kijana huyu [emoji91]
FB_IMG_1672489424782.jpg
 
Hebu toa upuuzi wako 😅😅
 
Kinachomuangusha ni nchi anayochezea eti Tanzania, inamharibia kila kitu maanake ni nchi ambayo haifahamiki katika medani ya soka duniani.
 
Back
Top Bottom