Labda abdala kichwa wazi.Inaonekana hili jina la pape huko senegal ni kama jina la abdallah huku tanzania
Kila mtu abdallah
Hebu toa upuuzi wako π π
Kiwango chake ni cha kawaida sanaKinachomuangusha ni nchi anayochezea eti Tanzania, inamharibia kila kitu maanake ni nchi ambayo haifahamiki katika medani ya soka duniani.