Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Pape Sakho ni mchezaji mzuri sana ila ana kasoro nyingi sana, ni mchezaji laini sana, sio fighter kama Kibu Denis, anakabika kirahisi halafu ana dharau wakat bado mashabiki hawajaridhika naye, sio mchezaji ambaye unaweza kumtegemea kubadilisha mchezo au kufanya maajabu sana, Simba inaweza kumuuza na kumrudisha Micquisone kama biashara itakuwepo.