Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mkuu rejea mechi ya Simba dhidi ya Berkane kwa Mkapa.sio mchezaji ambaye unaweza kumtegemea kubadilisha mchezo au kufanya maajabu sana,
Mkuu rejea mechi ya Simba dhidi ya Berkane kwa Mkapa.
Nadhani Jana mmethibitisha maneno yangu kwamba Sakho si mchezaji hatari ila ni mchezaji machachari.Pape Sakho ni mchezaji mzuri sana ila ana kasoro nyingi sana, ni mchezaji laini sana, sio fighter kama Kibu Denis, anakabika kirahisi halafu ana dharau wakat bado mashabiki hawajaridhika naye, sio mchezaji ambaye unaweza kumtegemea kubadilisha mchezo au kufanya maajabu sana, Simba inaweza kumuuza na kumrudisha Micquisone kama biashara itakuwepo.
PointPape Sakho ni mchezaji mzuri sana ila ana kasoro nyingi sana, ni mchezaji laini sana, sio fighter kama Kibu Denis, anakabika kirahisi halafu ana dharau wakat bado mashabiki hawajaridhika naye, sio mchezaji ambaye unaweza kumtegemea kubadilisha mchezo au kufanya maajabu sana, Simba inaweza kumuuza na kumrudisha Micquisone kama biashara itakuwepo.
Huyu sakho hata robo ya hili zombie Morrison!! Ubora hupimwa kwa takwimu!!Mchezaji gani Happ tz wanaweza kufananishwa na sakho kwa ubora na kiwango ....hkn hata mmoja kjn Ana mpira wake wa kipekee ssn
Hapana, aliwatambuka mabeki kama watatu kisha akapiga low blasted kick far post, kushoto kwa kipa. WHAT A GOAL!!!Hii mechi ndo alifunga kwa bicycles kick ?