Kwani kwenye Viwango vya Ubora Afrika, Senegal wapo sawa na Mali? Acheni ujinga wa kujipa mafanikio ambayo hayapo nyie Utopolo.Taja na wachezaji walioitwa kikosi cha Mali, wanaocheza africa ni wangapi wameitwa? Vitu kama ivyo watu tulishaona vya kawaida nyie mnaweka na sherehe kabisa? Acheni ajenda nyepesi kama izo zisizokuwa na maana yoyote
Eti "Vitu kama ivyo watu tulishaona vya kawaida" 🤣😂🤣 Yanga mnajuaga sana kujimwambafai msionekane wanyonge.Taja na wachezaji walioitwa kikosi cha Mali, wanaocheza africa ni wangapi wameitwa? Vitu kama ivyo watu tulishaona vya kawaida nyie mnaweka na sherehe kabisa? Acheni ajenda nyepesi kama izo zisizokuwa na maana yoyote
Kuna watu wanakujaga na kauli za ajabu hadi unashangaa kisa tu apate kitu cha kukosoa. Nimemshangaa sana huyo jamaa. Mpira wetu kweli unalea roho mbaya.Kwani kwenye Viwango vya Ubora Afrika, Senegal wapo sawa na Mali? Acheni ujinga wa kujipa mafanikio ambayo hayapo nyie Utopolo.
Utakufaa kwa preshaa poleeeeeee sana.Okra kucheza Wodi kapu iliishiaga wapi guvu moya wenzangu ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hutaki kunya bogaaa poleeeeehSiku hizi mtu kuitwa timu ya Taifa imekua habari? Tutafika nguo zimeraruka mabeganiView attachment 2555441
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ligonjwa piaaa.Kama walivyokuletea muuza bia London wakasema ni mchezaji wa Newcastle Utd.
Ni taifa lipi?? Unadhan Senegal ni nchi ya wakata viuno na wanao jichubuaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui ni ushamba au ulimbukeni, ajabu ni ipi mchezaji kuitwa timu ya Taifa?
Na ndo tiketi ya yeye kutuaga hii, sakho go kijanaaa.Huyu dogo kuna siku tutamsikia Yuko crystal Palace,
Wacha akakichafue na kina Nampalisy Mendy, kijana muhim wa cisee
haya mambo hua unang'ang'ana tu sio yakoNi taifa lipi?? Unadhan Senegal ni nchi ya wakata viuno na wanao jichubuaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio mambo yako hayo ya kunya kunya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hutaki kunya bogaaa poleeeeeh
Akuna wivu mnaonekana mlivyo na kaujinga fulani hivi vichwani mwenu, kwani yanga imetoa wachezaji wangapi walioitwa kwenye timu za taifa ambazo ni kubwa? Mbona atujaona wanapiga kelele hapa? Diarra kaitwa Mali, Azizi ki kaitwa burkinafaso, Mayele kaitwa kongo, Aucho kaitwa uganda, Musonda kaitwa zambia, mbona wao wametulia tuli bila mapambio?Eti "Vitu kama ivyo watu tulishaona vya kawaida" 🤣😂🤣 Yanga mnajuaga sana kujimwambafai msionekane wanyonge.
Kwa hiyo timu isitoe ripoti wachezaji wake wanapoitwa timu za taifa? Kwanza ni jambo la fahari. Wivu utawaua.
Kila mtu na mpango wake, unapangia wengine mambo ya kufanya we nani? Kwani aliyewaongelea Yanga ni nani kwenye ile taarifa ya Simba? Acheni kujishtukia na kuona kila jambo mnaweza kushindana na Simba, mtachanika msamba.Akuna wivu mnaonekana mlivyo na kaujinga fulani hivi vichwani mwenu, kwani yanga imetoa wachezaji wangapi walioitwa kwenye timu za taifa ambazo ni kubwa? Mbona atujaona wanapiga kelele hapa? Diarra kaitwa Mali, Azizi ki kaitwa burkinafaso, Mayele kaitwa kongo, Aucho kaitwa uganda, Musonda kaitwa zambia, mbona wao wametulia tuli bila mapambio?
Eti Mbona Ki kaitwa Burkinafaso, Mayele Kongo, Musonda Zambia, Diara Mali, hivi hayo mataifa unalinganisha na Senegal kimpira? Wewe kweli mwehu, mbona Simba kuna Henock kaitwa Kongo, Chama kuitwa Zambia kama hivyo mbona ni kawaida tuAkuna wivu mnaonekana mlivyo na kaujinga fulani hivi vichwani mwenu, kwani yanga imetoa wachezaji wangapi walioitwa kwenye timu za taifa ambazo ni kubwa? Mbona atujaona wanapiga kelele hapa? Diarra kaitwa Mali, Azizi ki kaitwa burkinafaso, Mayele kaitwa kongo, Aucho kaitwa uganda, Musonda kaitwa zambia, mbona wao wametulia tuli bila mapambio?
Unajua wivu ukizidi sana mpk heshima nayo hushuka...Pamoja na kutofautiana na wewe mara nyingi humu ndani kutokana na tofauti zetu za kishabiki, huwa nakuchukulia mtu fulani mwenye heshima zake. Kuna vitu sitegemei kusikia kutoka kwako.
Ni wiki hii hii tumekuwa na mijadala ya kuhusu uchaguzi wa wachezaji wa Taifa Stars, sikuona ukihoji hilo. Leo Sakho anaenda kuwa katika kikosi cha timu bora Africa, akicheza pamoja na mmoja wa wachezaji bora duniani, akicheza na kikosi kizima cha wachezaji wanacheza Ulaya, halafu unajaribu kushusha umuhimu wa hilo jambo. Kama siyo wivu ni nini?
Sasa hilo li Edo limeshaacha kazi?Eti Mbona Ki kaitwa Burkinafaso, Mayele Kongo, Musonda Zambia, Diara Mali, hivi hayo mataifa unalinganisha na Senegal kimpira? Wewe kweli mwehu, mbona Simba kuna Henock kaitwa Kongo, Chama kuitwa Zambia kama hivyo mbona ni kawaida tu
Huyu amekuwa gumzo kwasababu wanaingia kikosini na akina Sadio Mane (Bayern Munich) Boulaye Dia (Villareal) Bamba Dieng (Loliente) Dialo (Strasbourg) Koulibaly (Chelsea) na kuna wengine hawajaitwa lakini wapo Ulaya.
Ndo maana Edo alisema akiitwa Sakho timu ya Taifa anaacha kazi kwasababu alisema Senegal ina wachezaji wakubwa wanaocheza Ulaya.
Halafu unalinganisha Kongo, Mali, Burkinafaso kwa Senegal..?! Mkiambiwa wenye akili ni Sunday na Kikwete wengine nyie hamnazo kaeni kimya.