EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Chemistry bhna...
nakumbuka ...[emoji23] unaingia exam room unakuta swali hujawai sikia tangu Form one..
unaenda swali LA pili linasema explain your answer in Q1 above...unaishiwa nguvu,
unasonga swali la 3....kumbe linasema discuss your answer in question number 2...
unaangalia wenzako walio karibu na wewe ni vilaza bora wewe ..
unaona hamwezi discuss [emoji15] [emoji15] ...
Unaenda swali LA 4 wanauliza two types of bonds na we unajua ni eurobond na James Bond pekee...[emoji23][emoji23][emoji23]
Unauma kalamu[emoji871]�...Kidogo unasikia mwenzako anaomba extra paper[emoji30][emoji30] unashindwa kuelewa we ni kurogwa ama nini..
kabla huyo hajaketi mwingine anasimama na kusema swali LA 7 naona lina shida na ni hilo pekee uli culculate ukapata 0.076524.[emoji6][emoji6]
Unamkazia macho ya huruma msimamizi wa Mtihani, ukiomba Mungu aseme halijakosewa, Unavunjika moyo baada ya kusema ni kweli limekosewa.
Unaamua kulalia mezani na unaota kuna mjomba wako yuko Jeshi ataku organaizia uingie jeshini baada ya kuferi chuo[emoji42][emoji42]..
unaamka ghafla unakumbuka kumbe mjomba wako ni wa Jeshi la Wokovu.```
Unakimbikia chooni unakuta choo kimefungwa Kwa komeo la Chuma...
[emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]