umenkumbusha mbali sana mkuu,nakumbuka ilikua 2004 2kiwa 2napga paper ya 4m 2 enzi hzo,ebana 2kiwa nje 2najiandaa kuingia kwenye paper ya mchana{ilikua history}akaja mchzi flani akiwa na paper akasema wa2 wapge donation ye awavutie paper,bac wale wenye pesa zao wakachangashana harakahara me na mchzi wangu m1 hv 2likuaga ni wa2 ambao ha2naga pesa bahati mbaya,bac washkaji wakajtenga wote icpokua me na msela,u cn imagne hw t filz afu shule ya mixture,wel 2kapeana moyo na msela wangu kwangu 2maini le2 pekee ni mungu,c ukafka mda wa kuingia kwenye paper,washkaji wakawa na mchecheto wakuipga hyo paper wakidhan ndo kama ile waloisov,huwezi amin kuna jamaa alikua pemben yangu,ilimchukua takriban lisaa limoja kuanza kufanya huo mtiani,kumbe k2 ilikua tango pori,thanx God i ws the 1st one kwa hyo paper na msela wangu akawa wa pili 2kipishana max 1 tu.