Papi Kocha na babu Seya! Mbona kimya sana?

Papi Kocha na babu Seya! Mbona kimya sana?

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Hawa ndugu zetu sijui maisha ya jela yalipoteza directions zao au muziki wa bendi kutokufanya vyema imewagusa pia! Ila wengi tulitegemea baada ya kutoka jela tungepata hits bandika bandua ila imekuwa kinyume.

Uwezo na vipaji kwao hakuna wa kuhoji lakini kwanini hatuwasikii? Can you imagine binafsi sijui hata kama kuna sehemu wanapiga au bendi wanayotumikia sasa?

Wadau wa muziki hebu fanyeni kitu hii familia iturudishie burudani halisi ya muziki! Mzee wetu Nguza Viking afya inamsumbua na moja ya vipaji hadhimu vilivyopo ni wao! Hebu fanyeni jambo bana.
 
pesa za live band zinakusahaulisha kwenda studio

muulize Banana Zoro
 
Papii kocha yupo Town Classic Band

Ijumaa wanapiga Kimara TTG
Jumamosi Mawasiliano Park
Jumapili Target Mbezi Beach
 
Ngoja nitamuuliza ndugu yao peti mauzo baadae
 
Back
Top Bottom