Sikia hii; jamani nimeamua kuirusha hii maana nayo ni habari, eti Kocha wa timu kubwa kama Yanga hajalipiwa umeme na maji hadi akakatiwa....na kwamba timu haijafanya mazoezi kwa siku saba kutokana na UWANJA kujaa maji huku ikjiandaa kucheza na Zamalek!!!
Wapi Wanayanga wenzangu tumchangie mwalimu wetu apate japo luku ya wiki hii wakati changamoto zake zikiendelewa kutafutiwa Manji? Yamkini anashindwa kusoma hata programu za mazoezi kwenye wavuti kwa kukosa umeme
....Itabidi kamati ya nidhamu ifanye kikao cha dharura na kumfukuza huyu kocha kwa kutoa SIRI za club, wababaishaji hawakawii kuficha udhaifu wao kwa jina la nidhamu...
Yamkini anashindwa kusoma hata programu za mazoezi kwenye wavuti kwa kukosa umeme[/SIZE][/FONT][/B][/COLOR][/QUOTE]
sidhani kama alikubali kusaini contract bila kuzingatia consideration,terms & conditions of the contract kwa sababu kama lugha iliyotumiwa kuandika contract ingekua unknown kwake asingesaini contract hiyo na kuwepo yanga hadi leo.
Ina huyu papik haoni mafuriko? Kaambiwa nguzo za umeme kwenda kwenye gesti aliyopangia zimeanguka yeye kaamua kuitia aibu yeboyebo hadi kwenye magazeti. Sasa subiri kutimuliwa
Yanga pia wanalalmika kwamba jamaa anaishi maisha ya kisharobaro sana ndo maana anawasumbua.Wameshamwambia alete familia yake huku ili apunguze starehe lkn hataki kwani anajua kuwa familia itamfanya aishi kwa discipline sana.