Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Amewahi sana.Amepiga faster sana kweli alikuwa na kiu
Ampeleke ikulu kwa mkuu aone matunda ya kuunga juhudi ya kufyatua
Tafti za twaweza zitatupa majibuMjela jela Papii Kocha hatimaye apata mtoto wa kiume ndani ya muda mfupi tu tangu atoke jela.
Ila kuna maswali bado ninajiuliza, hivi tangu atoke jela amefikisha hata miezi saba kweli???? Na huyo mchumba amempata muda gani mpaka akamtia mimba??
View attachment 914387View attachment 914388View attachment 914389
Maoni ya wadauView attachment 914404
Wapo wengi tu huko hawana watoto mkuu.... .....FFU, wanajeshi, wafungwa hawa kama una mwanamke anajifanya mgumba wapelekee tu akakae Karibu na maeneo yao. Atazaa tu.
Papii alikuwa mfungwa Ndio maana.
WONDERFULLY BEAUTIFUL. Praised is the name of the LORD!Mjela jela Papii Kocha hatimaye apata mtoto wa kiume ndani ya muda mfupi tu tangu atoke jela.
Ila mpaka sasa bado hatujamjua shemela wetu.
View attachment 914387View attachment 914388View attachment 914389