Nimekuwa nikisoma post mbalimbali za kuwasifia wanamuziki wenye sauti nzuri kama Bella, ommy dimpoz, diamond, Ally Kiba, Blue nk. Ila niwakumbushe kuwa kiboko ya hao wote ni PAPII KOCHA ambaya kwa bahati mbaya yuko jela. Kwa tathmini yangu hakuna anayemfikia kwa kuwa na sauti nzuri. Mungu amjalie apate msamaha na kuja kutuburudisha.