Papii Kocha vs Christian Bela; Kura yako weka hapa

Papii Kocha vs Christian Bela; Kura yako weka hapa

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,944
Reaction score
2,032
Mida fulani ya alasiri nilikuwa nikisikiliza wimbo wa huyu muimbaji ambaye kwa sasa yuko kifunguni,nilimuwaza sana na nikahisi angekuwepo muda huu huku urain basi angekuwa akitoa upinzan wa kutosha kwa mkali mwengine anayekimbiza huku kitaani,hivi unafikiri kwa hawa wakali wawili ungewekwa mchuano we ungempigia nan kura kati ya papii kocha na bela karibu MWANA JAMII FORUM ufunguke.
 
Watu waliokuwa kifungoni, tena kwa kesi ya kubaka hawana haki ya kupiga wala kupigiwa kura ya aina yoyote ile. Kwahiyo thread closed.
 
bella ni namba ingine wewe!! he's th best king of gud melodies.. th badddest vocalist of vocalists.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Amerudi analia eeh,amerudi analia eeh huruma anatia huruma ,huruma anatia huruma nimsamehe........

"Amerudia analia sijui nimfanyeje,alipo niacha niliumia sana eeh...!
Nachozi la mnyonge aliendi bure..eeeh
Amerudi anataka turudianeee...anatia hurumaa..aaah.."
 
Mbona kama unanionea, haya mapenzi gani kila siku lazima mi nimbembeleze,
Nini sasa mpenzi wangu nagota kumbembeleza,
Na mimi nisikie anavyosikiaga nikimbembeleza. ................

Kutoka sasa (nashindwa)2
Kutoka mimi (nashindwa )2
 
Binafsi ni shabiki mkubwa wa Papii kocha ila Bella namkubali kinoumah!!
 
Papii Kocha alikuwa hana mpinzani,sidhani kama wanaochangia hapa kama wamewahi kumsikiliza
 
Papii Kocha alikuwa hana mpinzani,sidhani kama wanaochangia hapa kama wamewahi kumsikiliza
Nimemsikiliza sana anajua lakini hana uwezo wa kuvaa viatu vya Bella!
 
Watu waliokuwa kifungoni, tena kwa kesi ya kubaka hawana haki ya kupiga wala kupigiwa kura ya aina yoyote ile. Kwahiyo thread closed.

Mbona sijawahi sikia basata ikikataza kazi zao zisichezwe hewani.Mkuu usihukumu watu kumbuka wote wanaoenda jela sio wote wana hatia waliimbaga gangwe mob
 
Huyu Bella hadi kibakuli Hana hamu nae maana alimchezea Sana ktk ile collabo
Ya kwetu tayari tunasubiri ya huyo wa kwenu na Christian bella tuone mtu anavyojinyea studio haha
 
Seyaa wa mivaalooo.., kwa ngoma hyo Papi Kocha mkali.
 
Back
Top Bottom