SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Nimemsikiliza sana anajua lakini hana uwezo wa kuvaa viatu vya Bella!Papii Kocha alikuwa hana mpinzani,sidhani kama wanaochangia hapa kama wamewahi kumsikiliza
Nimemsikiliza sana anajua lakini hana uwezo wa kuvaa viatu vya Bella!
Watu waliokuwa kifungoni, tena kwa kesi ya kubaka hawana haki ya kupiga wala kupigiwa kura ya aina yoyote ile. Kwahiyo thread closed.
Ya kwetu tayari tunasubiri ya huyo wa kwenu na Christian bella tuone mtu anavyojinyea studio hahaHuyu Bella hadi kibakuli Hana hamu nae maana alimchezea Sana ktk ile collabo
Ya kwetu tayari tunasubiri ya huyo wa kwenu na Christian bella tuone mtu anavyojinyea studio haha