Papii Kocha vs Christian Bela; Kura yako weka hapa

Haaaah mbona wimbo haupati airtime wala support tatizo nini
Labda radio mbao ila ni hit song tayari
Mbona hata subira ime hit bila promo kizuri chajiuza bwana
 
kura yangu ya huruma inaenda kwa papii.
 

kila jambo na wakati wake, papii muda wake ushapita so now ni bella
 
Kweli kuwa na sikio la Muzik kipaji!Papii hakua na Sauti ya kumshinda hata Jose Mara,Malou stonch au Charles Baba ila alikua rapper mzur anajua maneno ya kitaa na kutumia kwenye ghani ila kwa uimbaji hamuwezi Bella hata hizo nyimbo mnazotaja ameimba alirudia za Nguza na alifundishwa aimbaje na Babake!Bella ni utunzi wake na Jeshi la mtu moko
 

Umesema ukweli kabisa, Bella ni jeshi la mtu moko
 

Your not serious kabisa kumlinganisha Papii na kina Charles Baba au Jose Mara .Wimbo wa Salima aliurudia?
 
Your not serious kabisa kumlinganisha Papii na kina Charles Baba au Jose Mara .Wimbo wa Salima aliurudia?

Haujui muziki period!kama had Salima haujui kwamba ni wimbo wa Nguza Viking!Papii si muimbaji ni atalaku au rapper Mzuri ilo nakubali;nimekuambia hawashind kwa vocal hao niliowataja!unafananisha midfielder na mshambuliaji,vitu viwil tofaut Papii mshindanishe na kitokololo,7,Totoo ze Bingwa nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…