Papuchi kavu kunako 6 kwa 6

Kokubanza-G

Senior Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
111
Reaction score
22
Wazima MMU,sababu inayofanya papuchi kuwa kavu kunako 6 kwa 6 ni zipi? Na je kuna vyakula ambavyo mtu akila vitasaidia kuondoa uo ukavu??
 
Kula nyanya chungu kwa wingi +bamia ongeza bilinganya!! Ikshndkana muwe munaweka maji kuloe!!
 
ky jelly... ila uwe mwangalifu isije teleza lol.
 
Mmmh hahaha...imekuwa bustani au shamba??

Watumie tu vilainishi maalumu otherwise watumie muda mrefu kwenye maandilizi ya kimwili na kiakili kabla na wakati wa mtanange

asanteeeeeeeee
 
Mmmh hahaha...imekuwa bustani au shamba??

Watumie tu vilainishi maalumu otherwise watumie muda mrefu kwenye maandilizi ya kimwili na kiakili kabla na wakati wa mtanange
Aa aa wewe mkuu basiii tena....!! yaani nikushurkuru vipiiii!
 
Wazima MMU,sababu inayofanya papuchi kuwa kavu kunako 6 kwa 6 ni zipi? Na je kuna vyakula ambavyo mtu akila vitasaidia kuondoa uo ukavu??

we koku wa kike?
we ni muathirika direct au unamfanyia mtu msaada?
 
hizo papuchi ni kero jamani usiombe ikukute maana lazima uipake mafuta au uitemee mate.
 
hivi vitanda vyote ni sita kwa sita??
 
Ishu hapo ni kutokuwa interested. Unapotea huko na mambo yako hamna hata salamu, jioni unaappear kama mzimu. Hujaoga, unanuka pombe zilizochacha, uvivu wa maandalizi unataka kuparamia. Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…