Parabora wa Geneva...

Parabora wa Geneva...

Unaweza shangaa huyu ndege mnana akanasa kwa huyo jamaa Mnigeria.

Mremboo tabasamu lake tuu inaonesha anamkubali jamaa sema ndo hivyo jamaa yuko California Looveeee ile ya Tupac Shakur.
Tabasam hili mara ya mwisho ulimpa nafasi
 
Tabasam hili mara ya mwisho ulimpa nafasi

1. Hili tabasamu analifaidi Dadii kila uchao... (if I get it right)

2. Yeah, kwa hilo tabasamu... lazima huyo mrembo alimpa nafasi jamaa (if I get it right)

3. Tabasamu hili mara ya mwisho nilimpa Dadii, haku na mwingine. (If at all I get it Right)

Ciao.
 
Unaweza shangaa huyu ndege mnana akanasa kwa huyo jamaa Mnigeria.

Mremboo tabasamu lake tuu inaonesha anamkubali jamaa sema ndo hivyo jamaa yuko California Looveeee ile ya Tupac Shakur.
Mtoto ni mzuri kweli aisee
 
😆😆😆 Ila wanigeria bana kwa sifa mbaya waliojiletea wao wenyewe kwa kupenda, usijepata huyo mwamba ni wale Yahoo Yahoo au G Boys. Wale vijana wa kuwalaghai watu hela na mali zao kupitia email, sanasana Yahoo Mail na G Mail. Kuna video niliitizamaa, mzungu alikuwa anatiririkwa na machozi kwenye video call na vijana wa Yahoo Yahoo. Akiwasihi wamrejeshee hela zake eti na alikuwa ameuza hadi nyumba yake na familia yake ndio awekeze kwenye mradi hewa, baada ya wao kumhadaa na kumuingiza box. Alafu jamaa walikuwa wanacheka tu na kumbeza. Eti 'nawaoo you go cry die'. Huwa wanawaita victims wao 'maga' au 'clients'. I go cash out big money o, my maga done pay oo! Mungu awasamehe, umasikini umefanya vijana wawe wahuni.
 
Back
Top Bottom