ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Wadau, mara nyingi kumekuwa na sms zinazosambazwa kupitia social media, lkn hakuna mamlaka inayojitokeza kuzipinga au kuzitolea ufafanuzi.
Sasa kwa mara nyingine tena, nimetumiwa ujumbe wa paracetamol P-500 kuwa ni dawa hatari zina virusi wakali zaidi duniani na wanaoongoza kuua.
Kwa kuwa JF ndo home of everything, naomba kulileta kwenu tupate ufafanuzi kwa hili.