Parachichi aina ya fuerte inastawi wilaya ya urambo,tabora?

BARA BARA YA 5

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,174
Reaction score
835
Ndugu, katika pitapita kwenye magroup ya wahangaikaji, nimekuta mtu anasema kilimo cha parachichi (aina ya fuerte) kinastawi Wilaya ya Urambo Tabora...Vipi kuna ukweli??

asante
 
Vipi inafaa kwa kusafirisha nje au ni local consumption.
 
Back
Top Bottom