Habari wadau,
Mimi ni mmoja wa wakulima wa zao la parachichi kutoka Ngara. Ni parachichi zile kubwa , nzuri na zenye ladha 'creamy' ambazo hapo awali zilikua zinatoka Burundi ila kwa sasa pia zinazalishwa kwa wingi hapa wilayani Ngara.
Tayari kama wakulima tuko na umoja amabo umesajiliwa na kwa sasa tunatafuta wanunuzi wa moja kwa moja watakao wasiliana na viongozi wa chama kwa ajili ya usalama wa fedha zao na uhakika wa biashara.
Madalali wamekua wakivusha parachichi changa kutoka Burundi hivyo kuathiri walaji na soko kwa ujumla. Kama mdau wa jukwaa na unafahamu wanunuzi wa uhakika, tafadhali tuwasiliane juu ya hili ikiwa ni pamoja na kupata mawasiliano ya viongozi wa chama na uthibitisho zaidi.
Ahsante.