Parachuchi kupukutika

Bado !nimekaaa Tamaa yatakayobaki ndo hayhayo
Mwaka huu miti mingi imepukutisha, nahisi ni sababu ya mvua, ninao mti mmoja huuni uzao wake wa pili umebakiza matunda 22 tu! Mara ya kwanza ulipukutisha yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…