Parachute!

Parachute!

Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
1,585
Reaction score
1,073
Pale unapofurahi umepona ajali ya ndege kwa kuruka na parachute kumbe....
 

Attachments

  • Image4.jpg
    Image4.jpg
    26.3 KB · Views: 219
si bora hao aligeta unaweza kupona kimiujiza!
 
Hapo nikuomba Mungu akusamehe zambi zako ili ukishaliwa na hao mamba uingie mbinguni direct.
 
Balaa hii mbona?...Hapo basi tena,sala tu ndo kitu cha maana kwa sekunde zilizobaki!
 
..Haya madude mengine huwezi hata kukata kona kubadili muelekeo. Mh! kivumbi hapo!! lilitakiwa kuwa na gea ya kurudi reverse kama chini kuna danger ya hatari...
 
Back
Top Bottom